Lugha za Kiworrorran

Eneo la lugha za Kiworrorran barani mwa Australia, rangi ya kizambarau

Lugha za Kiworrorran ni familia ndogo ya lugha nchini Australia. Katika familia hiyo kuna lugha kumi na mbili ambazo huzungumzwa upande wa kaskazini ya jimbo la Australia Magharibi.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy